Download link: RHODA KUNCHELA ARUDISHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MPANDA MJINI.mp3
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Katavi ambaye alikuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia chama hicho Rhoda Kunchela Leo Julai 9,2020 amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mpanda mjini.